HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 6, 2009

Watoto Hawa Wanakwenda Wakati Gani Shule??

Watoto wadogo wenye umri wa kwenda shule huko Mkoani Mbeya,walikutwa wakigonga mawe kwa ajili ya kupata kokoto walizokuwa wakiziuza sh.1000 kwa debe moja.kwa kweli hii hali ni ya kusikitisha sana katika taifa letu hili.Picha na Michael Jamson

4 comments:

Post Bottom Ad