
Mjengo wetu pande za Stockholm,Nchini Sweden

T CENTRAL hapo ndipo ulipo usafiri wa kwenda nchi jirani na miji yote ya sweden kwa mabasi na train,ukimtafuta mtu wako anaeishi Stockholm basi wewe usihangaike banisha tu hapo na haipiti wiki ushamuona.ni Mimi Mdau wa Mtaa Kwa Mtaa,pande za Stockholm.
Mimi namtafuta rafiki yangu nae anaishi Stockholm nikija uko nitakwenda hapo kituoni nimkamate mdeni wangu
ReplyDelete