
Habari Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa,
hebu wape wadau hii kitu ambayo imetokea leo asubuhi saa 7:30am, daladala kidogo liingie choo cha kike, lilitaka kuruka kutoka upande mmoja na kuhamia upande wa pili mithili ya ndege aina ya Presisheni ea lakini ngoma ikadunda!cha kushukuru ni kwamba hakuna mtu hata mmoja alieumia ila dereva aliingia mitini na kuacha gari liokotwe na Traffic!
Mdau Wa Mtaa Kwa Mtaa.
Madereva Bongo,Kuendesha macho yakiwa wamefumba.
ReplyDelete