HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 21, 2009

Picha Toka Kwa Mdau Wa Sweden

Mjengo wetu pande za Stockholm,Nchini Sweden
T CENTRAL hapo ndipo ulipo usafiri wa kwenda nchi jirani na miji yote ya sweden kwa mabasi na train,ukimtafuta mtu wako anaeishi Stockholm basi wewe usihangaike banisha tu hapo na haipiti wiki ushamuona.ni Mimi Mdau wa Mtaa Kwa Mtaa,pande za Stockholm.

1 comment:

  1. Mimi namtafuta rafiki yangu nae anaishi Stockholm nikija uko nitakwenda hapo kituoni nimkamate mdeni wangu

    ReplyDelete

Post Bottom Ad