HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 14, 2009

Hotuba Za Baba Wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere

Kwa wale ambao wamekuwa wakiulizia na kutamani kusikia hotuba za Hayati, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, baadhi ya hutuba hizo nimezifufua linki zake na zinasikika vyema, na video moja inaonekana vyema. Atakayekwama anifahamishe nitajitahidi kurekebisha kadiri niwezavyo.
Linki ni
nukta77.blogspot.com
Hotuba aliyoitoa Kilimanjaro Hotel (sasa Kempinski) - audio parts 1 - 3.
Hotuba aliyoitoa Dodoma - video
Hotuba kadhaa na Wasifu wa Mwalimu ulioandikwa na Fr. Wille - text

Karibuni!

Subi, nukta77!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad