SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI KWA WASANII WACHANGA HAPA BONGO LINAOFAHAMIKA KAMA BONGO STAR SEARCH,AMBALO LIKO CHINI YA KAMPUNI YA BENCH MARK PRODUCTIONS
LIMEMALIZIKA
HIVI PUNDE KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE,
AMBAPO MSHIRIKI TOKA JIJI LA MWANZA ANAEFAHAMIKA KWA JINA PASCHAL CASSIAN
NDIE ALIEIBUKA KIDEDEA KATIKA SHINDANO HILO AMBAPO AMEJINYAJULIA KITITA
CHA SHILINGI 25 MILION,PACHAL CASSIAN AMEIBUKA KIDEDEA BAADA YA KUWABWAGA WASHIRIKI WENGINE
WANNE AMBAO NI PETER MSECHU(TOKA KIGOMA)ALIECHUKUA NAFASI YA PILI,KELVIN MBATI(TOKA DAR)ALIECHUKUA NAFASI YA TATU,JACKSON GEORGE(TANGA)ALIESHIKA NAFASI YA NNE,BEATRICE WILLIAM(TOKA MWANZA)AMBAYE AMESHIKA NAFASI YA TANO.SHINDALO HILO LILIKUWA CHINI
YA MAJAJI JOHN KITIME,JOACHIM KIMARIO(MASTAR J) PAMOJA NA JAJI MKUU MADAME RITHA PAULSEN.PICHA ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO,HIVYO TUVUTE SUBIRA KIDOGO WADAU.

No comments:
Post a Comment