
Mama Emirenciana Kahema enzi za uhai wake

Mwili wa Mama Emirenciana Kahema ukiwa ndani ya gari maalum tayari kwa kwenda kuupumzisha kwenye nyumba yake ya milele

Mwili wa Marehemu Mama E. Kahema ukifikishwa makaburini Kinondoni,huku waombolezaji wakiwa wamejipanga kuupoea kwa masikitiko makubwa

Watoto wa Marehemu,Boniphace (kati) na dada yake Grace kulia wakijadili jambo na mmoja wa waombolezaji

Waombolezaji wakipika Makaburini ya Kinondoni tayari kwa kumpumzisha Mama yetu.

Gari iliyobeba mwili wa Marehemu ikiwasili Makaburini.

Ndugu,jamaa na Marafiki wakiwa wametulia kimya wakati ibada ya kumuombea Mama Emirenciana Kahema katika Makaburi ya Kinondoni jana jioni.

Grace ambaye ni mtoto pekee wa kike wa Marehemu Mama Emirenciana,akiweka udongo kwenye kaburi la Mama yake.

Watoto wa Marehemu,Albert kulia pamoja na mdogo wake Boniphace wakiweka udongo kwenye kaburi la Mama ya mpendwa alie watoka ghafla akiwa anaendesha gari yake kuelekea kwenye sherehe ya ndugu yake.

Mama Emirenciana Kahema alipatwa na unauti octoba 08,2009 akiwa njiani kuelekea kwenye sherehe ya kumuaga mmoja wa mabinti iliyokuwa inafanyika Rombo View Hotel iliyopo maeneo ya Shekilango.akiwa njiani alipatwa na BP ya ghafla na iliyomsabishia kifo chake hicho.
TUNAMUOMBEA KWA MUNGU AIWEKE MAHALA PEMA ROHO YA MAMA YETU,MAANA YEYE NDIE ALIEMLETA DUNIANI NA PIA YEYE NDIE ALIEMCHUKUA.
JINA LA LIBARIKIWE.
-AMINI
Its nearly a year since u left us i still can’t believe ur gone... missing you.
ReplyDeleteI miss seeing ma baby smile on Saturdays when he finished talking to u he had Permanent smile for days u where his special girl , just not the same without u.
luv u lots
Daughter-in-law
Addy