
Torres akishangilia baada ya kuitandika man u bao la kwanza

Inshua na Reina wakimpongeza kijana Ngog baada ya kuipatia timu ya LiverPool bao la pili dhidi ya Manchester United,katika gemu lilimalizika jiani hii katika uwanja wa Anfield.

"hivi ni kweli kwamba hawa jamaa hatuwawezi??,au wanadawa hawa jamaa??"haha ahaha ahah aahha ....hivi ndivyo wanavyoonekana kuongea hawa jamaa wa Man yuu.cheki matokeo yoote ya leo hapo chini.
leo hata website zilizokufa zitapata uptodate mlikuwa wapi?
ReplyDeleteyani liver kuifunga man imekuwa tabu, hamtubabaishi na tubao twenu tuwili, alaa, baba ni baba tu hamuwezi kutufikia kwa lolote lile. tuliwaonea huruma angalau na nyie muwe juu like sisi.
ReplyDeleteMan utd wamajiiii kama wameraruliwa na simba ''PAMEKWISHAAA''
ReplyDelete