HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 25, 2009

Fiesta Wani Lavu Jijini Tanga,Usipimeee......!

Msanii wa hip hop hapa bongo,a.k.a mkali wa mistari na vina Fid Q akiwaimbisha washabiki waliofika kwenye tamasha la fiesta jana usiku katika uwanja wa mkwakwani,tamasha la fiesta limedhaminiwa na kinywaji aina ya serengeti pamoja na nokia
Wasanii kutoka kundi la laFamilia,Chid Benz na Chiku wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku wa kuamkia leo mbele ya maelfu ya wakazi wa Tanga waliojitokeza kwa wingi katika tamasha la fiesta one love 2009.Wanajamvini mapicha kibaoa baadaye kidoogo au sio.
wasanii wa muziki wa kizazi kipya ,barnaba na pipi wakiwarusha wakazi wa tanga jana usiku kwenye tamasha la fiesta one love
Heavy Weight Mc Prof Jay naye akiwarusha vilivyo wakazi wa Tanga kwa namna ya kipekee kabisa kwenye fiesta one loe usiku wa kuamkia leo
Moja ya wakali wa miondoko ya free style Albert Mangwear a.k.a Mimi akikakmua kibao chake cha 120 shaa mbele ya umati wa watu kwenye tamasha la fiesta usiku wa kuamkia leo
Pichani ni maelfu ya wakazi wa Tanga waliojitokeza kwa wingi usiku wa kuamkia leo katika tamasha la fiesta one love lililofanyika ndani ya uwanja wa mpira wa miguu wa Mkwakwani jijini Tanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad