HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 3, 2009

Duuh!! Hii Kali!!

Juma (sio jina lake), alitambulisha mchumba kwa baba yake, kwa bahati mbaya baba yake alimkataa mchumba huyo kwa maelezo kuwa ni ndugu yake wa damu kutoka kwa mama mwingine ambaye baba yake alizaa naye. Baadae vipimo vya dna vilimpa uhakika.

Kwa kuwa juma alimpenda sana yule mchumba wake basi aliamua kwenda kuomba ushauri kwa mama yake, kwa mshangao mama yake alimpa baraka zote na kumruhusu amuoe huyo mchumba wake, kwani hata yeye baba yake halisi alikuwa ni house boy wao wa zamani ambaye kwa sasa yupo mbali, mara baada ya kupata taarifa hiyo juma akazirai kwa mshtuko kwa kujua kumbe aliyemlea si baba yake halisi!

2 comments:

  1. utata.....sasa vipimo vya DNA viliwezaje muunga juma na mchumba wake kama juma si mtoto wa baba yake mlezi?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad