maana mengie hata hayafai kuhadithia,ni bora mjionee wenyewe.hapa hawa washkaji nimewakuta wakipiga beche lilitoka shughulini.
Bongo hakuna muda wa kula kunywa likitokea zali mbele yako tende.
ReplyDeleteNdio maana kukaitwa Bongo yaani akili tuu ukiona aibu utalia na hakuna wa kukufuta machozi
ReplyDelete