HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 5, 2009

Libeneke La Akudo Impact Ndani Ya Msasani Beach Club

Rapa wa Acudo Impact,Kanal Top akifanya vitu vyake usiku ndani ya Msasani Beach Club
wazee wa masauti wakiwajibika ipasavyo ndani ya Msasani Beach Club,wakiongozwa na Christian Bella (mwenye shati la draft).
wapiga vyombo wa Bendi hiyo ya Acudo Impact wakiwajibika.
wanakwambia hapa ni kazi tuu.
safu ya ushambuliaji katika Bendi ya Acudi Impact ikiwajibika vilivyo mbele ya mashabiki wao wengi waliofurika pale Msasani Beach Club usiku huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad