HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 3, 2009

Miriam Gerald Ndiye Vodacom Miss Tz 2009/10

Miriam Gerald akifurahi mara baada ya kuvishwa taji la Vodacom Miss Tz 2009/10,usiku wa kuamkia leo pale Mlimani City.
Miriam Gerald ndiye Vodacom Miss TZ 2009/10 na pia ndiye Miss Redds Photogenic 2009/10.hapa akiwa na Miss Tz aliemaliza muda wake Nasreem karim,anaekula chabo kwa nyuma ya Nasreem ni Sylvia Shally alieshika nafasi ya nne katika kinyang'anyiro hicho kilichofanyika usiku wa kuamkia pale Mlimani City Conference centre,jijini Dar.
ukitaka mwandani wa Miriam

1 comment:

  1. kweli kabisa huyu binti alistahili kabisa kunyakua hilo taji,maana anasifa zote za urembo.

    au naonge auongo wadau??

    ReplyDelete

Post Bottom Ad