RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (RetailShops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wanamazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo!
Kemikali zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalumkatika maabara za kijeshi za Ma rekani kwa ajili ya kutuliza mzuka wamaaskari wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi yawananchi wa Vietnam miaka ya sitini na sabini. Kemikali hizo zilitumikapia kama dawa ya kuwazindua watu waliozirai (“stress coma”).Hazikukusudiwa kutumiwa kama kinywaji au kilevi cha kawaida!
Duniani kinywaji hiki (RED BULL) huuzwa kama kitu cha kuleta msismko(Energizer Drink) na matangazo yake yanataja sifa zake kama ifwatavyo.
“Ni kinywaji kinachompa mtu nguvu ya kustahimili na umakini. Humpa mtukasi ya vitendo” ... na kadhalika.
RED BULL imesambaa katika nchi 100 kwa mpigo (nchi masikini!). Namatangazo yake kuwalenga vijana na watoto, hasa wanamichezo. Hawa nirahisi kushabikia kinywaji hiki kibaya na kudhurika kiafya baadaye.
Katika hali yake ya matumizi ya sasa kinywaji hiki kiligunduliwa naMjerumani Dietrich Mateschitz ambaye alikikuta huko Hong Kong kikiwa nimojawapo ya madawa yaliyotumika katika kutengeneza dawa ya mswaki wa meno.
Dawa hiyo ilitengenezwa kwa kemikali ambazo zina kafeni na taurini(“caffeine and “taurine). Mjerumani huyo aliona vijana wajinga wa hukowakishabikia unywaji wake akaona mwanya wa kufanya biashara na akafanikiwakukileta ulaya.
ATHARI ZA KUNYWA RED BULL
Kinywaji kinachotengenezwa na kusambazwa leo hivi kina kemikali mbayaiitwayo “Glucuronolactone”, kemikali hatari ambayo ilitengenezwa na idaraya jeshi la Marekani wakati wa vita na Vietnam kwa ajili ya kutulizamvurugiko wa mwazo wa maaskari wake uliotokana na mauaji ya kinyamawaliokuwa wanafanya huko Vietnam.
Kwa sababu ya madhara makubwa ya kinywaji hiki nchi za FRANCE na DENMARKzimepiga marufuku kinywaji hiki na kibatiza jina la “MKOROGO WA UMAUTI”.Katika nchi hizi, utafiti uligundua kuwa maaskari wa Marekani waliotumiakinywaji chenye kemikali ya “GLUCURONOLACTONE” waliishia kupata madhara yamaumivu makali ya kichwa, uvimbe wa ubongo na hata ugonjwa wa ini(Migraines, Cerebral tumours and liver diseases). Ni kwa sababu hiyowamarekani waliacha kuwapa maaskari wao hicho kinywaji katika miaka ya
sitini na sabini.
Jambo la kushangaza ni kuwa lebo ya RED BULL inaonyesha wazi kuwa kinwajihiki kimetengenezwa kwa kemikali hatari ya “GLUCURONOLACTONE”! Ni kwasababu hiyo serikali za Denmark na Ufaransa nazo zikapiga marufuku unywajiwa RED BULL.
Pamoja na wauzaji wa RED BULL kuweka bayana kuwa ndani mwake mna hiyokemikali hatari ya “GLUCURONOLACTONE” lebo ya RED BULL hailezi madharamakubwa yanayoletwa na kemikali hiyo. Madhara ambayo hayakuwekwa bayanakwa mnywaji ni kama yafuatayo:
- Ni hatari kwa mtu ambaye hafanyi kazi au mazoezi mazito sana kukitumiakwani kina tabia ya kuongeza msukumo wa damu na kasi ya mapigo ya moyokiasi kwamba mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa moyo.
- Mtumiaji anaweza kupatwa na ugonjwa wa damu kuvuja ubongoni kwani REDBULL ina kemikali zinazoifanya damu iwe nyembaba ili moyo upate kusukumadamu nyingi bila kutumia nguvu nyingi.
- Ni hatari kuchanganya RED BULL na pombe ya aina yoyote kwanimchanganyiko wake huwa ni sumu (“Deadly Bomb”) inayoathiri musuli za inila mtumiaji na kuiacha katika hali ambayo haitapona kamwe.
- RED BULL Ina vitamini B12 kwa wingi, vitamini ambayo hutumiwa kama dawaya kuwazindua wagonjwa mahututi. Matumizi ya vitamini hii katika watuwazima ina athari za kuleta shinikizo la damu na humfanya mtu ajisikiekama mlevi.
- Unywaji wa RED BULL mara kwa mara huvuruga mfumo ya neva za fahamu nahusababisha maradhi mithili ya mfadhaiko wa akili usioponyeka.
HITIMISHO:
:RED BULL ni kinywaji HATARI SANA ambacho hapana budi kipigwe marufukukatika nchi zote zinazoendelea kwani ni dhahiri kimetengenezwa nakusambazwa ili kiathiri afya za wananchi wasiojiweza wa nchi hizimasikini. Kwa kuwa wengi katika nchi hizi hutumia pombe za kila aina niwazi kuwa kinywaji hiki kinalenga kuwamaliza watu wetu – kana kwambaukimwi uliobuniwa na hao wabaya wetu hautoshi!
NI VYEMA TUKAWALINDA WATOTO NA VIJANA WETU LA SIVYO TUTAKOSA WARITHI WA TAIFA LA KESHO!
dah kaka bora umeniambia kuwa redbull ni noma maana kwa siku nakunywa zaidi ya tatu, kumbe naweza kurest in peace? thank u nimeacha situmi tenaaaaaaaaaaa
ReplyDeletedah kaka bora umeniambia kuwa redbull ni noma maana kwa siku nakunywa zaidi ya tatu, kumbe naweza kurest in peace? thank u nimeacha situmi tenaaaaaaaaaaa
ReplyDelete