
wanamuziki wakali wa miondoko HIP-HOP Bongo, Mr II a.k.a Sugu na Mwana FA wakiwa ndani ya S&S Studio in Brooklyn - New York,Marekani wakirekodi track yao mpya 'Dunia Yako' itakayokuwa kwenye album ya VETO....,hivyo wapenzi wa mambo mambo yetu haya kaeni mkao wa kula.picha kutoka katika kurasa ya picha ya Mwana Fa ndani ya wanja la kujidai la FaceBook
No comments:
Post a Comment