
Da,Anitha akiwa katika pozi

Mpambe wa Da, Anitha nae akiwa katika pozi

Da,Anitha akiwa na mpambe wake meza kuu ya hai tebo,wakati wa sherehe yake ya send off iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Kilimanjaro holi,uliopo ndani ya viwanja vya sabasaba usiku wa kuamkia leo.

baadhi ya mabinti wakiwa wamemzunguka Bi.Harusi mtarajiwa

Da,Anitha akipiga story na mpambe wake

" hii ndio kazi ya ushenga pindi uendapo kuchukua jiko kwa ndugu zetu wa kule Bukoba"

Mshenga akijitambulisha huku ndugu wa bwana harusi wakisubiri kukaribishwa.

keki ikikatwa

Da,Anitha akiwa na mai hazbend wake mtarajiwa,ndugu Edson

watarajiwa wakiseviwa msosi tayari kwa kuweka sawa tumbo.

watarajiwa wakielekea sehemu yao waliyotengewa kwa kupata msosi

" Shampen"

kikundi cha ngoma toka Bukoba kikitumbuiza katika Send off ya Da,Anitha usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Kilimanjaro,Viwanja vya Sabasaba


wadau wakiduarika ile ngoma ya kinyumbani

ilikuwa ni furaha tupu.
napenda kweli kuingia kwenye blog yako unai update kila siku mpaka raha. tupe na picha zamajengo makubwa ya bongo ueleze kwenye picha hapa ni wapi ili tuelewe.
ReplyDeleteMdau Anonymous,september 4,2009
ReplyDeletewala usikonde utazipata hizo picha siku si nyingi,hivyo kaa mkao wa kufurahi tuu.
Pamojah
Othman Michuzi
waooo
ReplyDeletehatimae leo nimeweza kuingia,nilikua na ham ya kuona hizi picha,
big up sana