
nami sikuwa nyuma kupata taswirazz na baadhi ya wadau,hapa nipo na wadau wa Kenya Airways,dada Sesy na mkuu Salim

Dada Farida (kulia) akiwa na besti wake

hapa nipo na mdau wa Precision Air anaefahamika kwa jina la Ritha a.k.a RT ambaye pia ni mwanakijiji wa kijiji cha jirani cha FotoBaraza.Net
No comments:
Post a Comment