
hili jengo la Harbour View Tower (zamani J.M. Mall) ni moja katika ya majengo mengi yanayopendezesha sana jiji letu hili la Dar,humo ndani kuna vitu vingi sana vizuri na lipo katika mtaa wa Samora Avenue,fika hapo ukajionee mwenyewe vinavyopatikana ndani ya jengo hilo.
No comments:
Post a Comment