
kaunta

bango lake kwa nje

sehemu ya kuyarudia magoma


sehemu ya kuvutia fegi

muonekano wa kiota chenyewe kwa nje

mambo mambo yetu yapo ya kumwaga,ushindwe wewe tuu


wadau wakiwa ndani ya kiota cha Club Masai Annex
kiota hiki kipya kabisa kimefunguliwa rasmi siku ya eid mossi,kipo pande za Kurasini mbele kidogo ya kituo cha daladala cha JKT Mgulani,kuna barabara ya vumbi inakatisha mkono wa kushoto kuelekea katika kota za Bandari zilizopo maeneo ya kurasini.
kiota hiki kinagonga burudani mbalimbali kila siku na ratiba yake iko kama ifuatavyo:-
jumatatu na jumanne
kiingilio ni tsh 4,000/=,utapata bia mbili bure ndani.
jumatano
kiingilio ni tsh 3,000/= kwa kina baba na kina mama itakuwa tsh 2,000/=
alhamisi
kiingilio ni tsh 3,000/= kwa kina baba na kina dada ni bure kama kawa
ijumaa na jumamosi
kiingilio ni tsh 4,000/= hii ni kwa wootee
jumapili
kiingilio ni tsh 3,000/= kwa woote,
siku hii huwa kunapigwa magoma ya vijana wa zamani.
magoma yoote hayo yataletwa kwenu na madj wakali,
amboni Dj Muthah na Dj BK40
nyoote mnakaribishwa katika kiota hicho kipya kabisa ambacho kinatoa burudani nzuri na zenye raha zote.
No comments:
Post a Comment