leo baada ya swala ya magharibi nilipita pale city fast food iliyopo pale Sinza kwa Remmy kwa ajili ya kupata ftari,hawa jamaa wa hapa wanatengeneza ftari nzuri sana.kama vipi waweza pitia hapo siku moja kujionea mwenyewe kama nilivyozuka mie leo.
No comments:
Post a Comment