
wafanya biashara za mikoni,maarufu kama wamachinga wakiendeleza libeneke lao kama kawa katika bustani za gaden zilizopo katika kati ya barabara ya Ally Hassan Mwinyi rd kama walivyokutwa na kamera ya mzee wa mtaa kwa mtaa leo.sijui ndio washalamba vibali vya kuendeleza libeneke lao humu barabarani?? maana kadri siku zinavyozidi kwenda na wao ndio wanazidi kushain humu mabarabarani.
No comments:
Post a Comment