
Mdau Enock Bwigane ambaye ni mpiganaji wa Shirika la Habari Tanzania (TBC1) akiwa amepozi na mai waifu wake Miriam Lumelezi nje lango kuu la kanisa la KKKT Azania Front mara baada ya kufunga ndoa yao kanisani hapo.

Bw. harusi Enock Bwigane na Bi harusi Miriam Lumelezi pamoja na wapambe wao wakiwa wamepozi kwa picha ya pamoja na mchungaji aliewafungisha ndoa yao wakiwa ni wenye nyuso za furaha na bashasha tele katika kanisa la KKKT Azania Front mchana mchana wa leo.
No comments:
Post a Comment