tutaweka pipazz,hapa ni mtaa wa jamhuri street ubavuni mwa jengo la Benjamini Mkapa (Zamani Mafuta House) na usoni mwa jengo la NMB House,jamaa wameona ni bora waweke hilo pipa kuliko kuziba hilo shimo.picha na Father Kivevu Blog
No comments:
Post a Comment