HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 20, 2009

Mambo Ndio Yameanza Rasmi Bwawani

mchezaji wa Liverpoo Glen Johnson,akiifungia timu yake bao la pili huku Dirk Kuyt na Ferdinando Torres wakisikilizia kama mambo yatajipa au vipi dhidi ya Stoke City,lakini mambo yalikuwa poa na ngoma iliingia kimyani kama inanawaaaa vile.magoli ya Liverpool yalifungungwa na Torres (4),Johnson (45), mtu mzima Dirk Kuyt (78) na kumaliziwa na kinda David Ngog (94) huku Stoke City wakitoka katika uwanja wa Anfield vichwa chini baada ya kuchabangwa mabao 4-0.Liverpool ilipoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Tottenham Hotspus baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad