
mdau, Ninaitwa Teddy Kalonga, ni Mtanzania na Mwafrika mwenzenu, ni muda kidogo toka nifanye casting hii inayomsaka mtangazaji wa SPIKE TV, ambapo hivi punde nimetokea kuwa mmoja wa washiriki wa shindano hilo ambao walioingizwa kwenye mpambano. Hivyo basi, tunatakiwa kumpigiwa kura dada yetu Teddy ili aweze kuchaguliwa kama msemaji wa kike na mtangazaji wa SPIKE TV.Kwa kukamilisha hili nahitaji kura yako mdau! Ingia hapa kwa kupiga kura Go to SPIKE.COM
and
VOTE for Teddy Kalonga
No comments:
Post a Comment