mshabiki wa timu ya Simba akivinjari na injini kiuno yake huku akiwa kafunga bendera ya timu hiyo,katika mitaa ya kariakoo jana jioni mara baada ya gemu kati ya Simba na Sport Club Villa ya Uganda kumalizika huku vijana wa msimbazi wakitoka kifua mbele kwa kuwakandamiza waganda hao mabao 3-0.
No comments:
Post a Comment