HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 8, 2009

Mwenge


kumbe hii baraza ilioyoachwa wazi katika barabara ya Sam Nujoma rodi,ilikuwa ni kwaajili ya wafanya biashara ndogo ndogo a.k.a wamachinga!!!! maana mwanzo ilipokuwa inajengwa tulijiuliza sana kwa nini hawa jamaa wameacha nafasi kubwa sana katika barabara hii kumbe walikuwa na plan zao nzuri kwa ajili ya hawa jamaa.safi sana

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad