watoto wakiwa katika mashindano ya mbio za matairi katika moja ya mitaa ya mikocheni.hii yote ni kutokana na kukosekana kwa sehemu maalum ya kuchezea watoto ndio maana na wao wanatumia njia hizi hizi ambazo zinatumiwa na vyombo vya moto kama magari,pikipiki na vinginevyo.wazee wa sekta mnalipokeaje hiloo??

Michuzi Jr hapa mitaa gani? nafananisha na mitaa ya sinza ama chang`ombe.
ReplyDeletehiyo ni mitaa ya Msasani nyuma kidogo ya ubalozi wa marekani na wala si Sinza Mdau.
ReplyDeletetuko pamoja Michu Jr,
ReplyDeletenashukuru kwa kunijulisha