hapo wote waendeshayo hayo magari ni madereva na kila mmoja anaharaka na anakokwenda,sasa nani amruhusu mwenzake atangulie kutoka hapo?? hapa ni mtaa wa livingstone street wikiendi hii.
No comments:
Post a Comment