kutokana na ule usemi usemao michezo ni bora kwa afya yako basi nami huwaga naweka sawa afya yangu kwa kusakata mchezo huu wa pulu tebo kama unionavyo pichani nikimjeruhi mtu kwa magoli mfululizo kama mvua.yaani ukitaka kugusa hiyo mipira hapo hapo labda uanze wewe kuharibi lakini nikianza mimi ujue hutogusa mpira wowote mpaka gemu linamalizika kwa jinsi nilivyo mkali wa hili jidude.

No comments:
Post a Comment