washkaji wakiipiga kibega gari la abiria ambalo lilikuwa na tatizo la stata huku mbele kukiwa na gari nyingine ambayo imesima katikati ya barabara na mwenye kashuka kwa ajili ya kupakia mizigo katika gari lake,sasa kimbembe ni pale hii ngoma itakapowaka halafu breki zikawa zimefeli sijuia hata itakuwaje hapo?
No comments:
Post a Comment