NAOMBA KUTOA SALAMU ZANGU ZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KWENU NYINYI WADAU WAPENDWA POPOTE PALE MLIPO KATIKA DUNIA HII,RAMADHAN KAREEM NA INSHAALLAH TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU ATUPATIE WAHFU ILI TUWEZE KUFUNGA SWAUM ZETU MWANZO WA MFUNGO HADI MWISHO WA MFUNGO NA AZIPOKEE SWAUM ZETU PAMOJA NA DUA ZETU KWAKE.INSHAALLAH
RAMADHAN KAREEM,RAMADHAN MUBAARAQ
tunashukuru sana kwa salam yako Junior,nami nakutakia Ramadhan njema na kila la kheri katika mfungo huo mtukufu.
ReplyDeleteMdau UK
Nasi twakutakia kila la kher katika kwenye mfungo wa Ramadhan. Salamu toka kwa nduguzo.
ReplyDeleteIshallah
mama M.