hivi hii ndinga imekulaje mueleka hapa?halafu sehemu yenyewe ni barazani kwa mtu na mwenye nyumba yake anachungulia hapo kwa mlangoni.sasa sijui watoto wa eneo hilo walipona??.picha hii ni kwa hisani ya http://mtangazaji.blogspot.com waweza mtembelea kwenye libeneke hilo ili ujionee mambo kede kede.
Hii ni kupita chini ya milango ya watu jamani ona sasa.
ReplyDelete