hivi ndivyo yaonekanavyo maeneo baadhi ya maeneo ya jiji la Dar,picha hii nimepiga usiku huu nikiwa mitaa Kariakoo katika moja ya vikwangua anga vinavyokuja kwa kasi hapa taun.
MBONA LAONEKANA JIJI ZIME UMETUMIA KAMERA GANI?
ReplyDeleteasate kwa taalifa
ReplyDeletembona laonekana jiji zima umetumia kamera gani?
ReplyDeletekamera iliyotumika kupata taswira hii ni Sony Cyber-shot dsc-w110.
ReplyDeletenaomba kukuwasilishia Mdau Joseph
Pamojah.
We tajatu tuanze kuinyemerea.
ReplyDeleteShukrani kwa comment yako a.k.a Majibu,Kazi njema Brother Othman
ReplyDelete