hawa jamaa kwa utaalamu wa kuchimba shimozz mabarabarani,aaahhhh hawajambo kweli kweli ila kumbembe ni kwenye kulifukia hilo shomozz yaweza chukua hata miezi miwili likiwa hivyo hivyo wazi.hapa ni mtaa wa kitumbini mchana wa leo.
Ningekua karibu ningewatia makwezi.
ReplyDelete