HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 29, 2009

Mrembo Nasreen Karim Akiwa Vekesheni

Mlimbwende wa Vodacom Miss Tanzania 2008/9 Nasreen Karim akikatiza kwenye moja ya kivuko kilichopo huko jijini Mwanza ambacho ni moja ya vivutio vikubwa sana jijini humo,alipokuwa katika vekesheni yake huko jijini Mwanza.je kwa wale wadau wa jiji la Mwanza mnaweza tudadavulia hiki kivuko kiko sehemu gani huko jijini Mwanza?.picha na kutoka hapa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad