HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 31, 2009

Usalama Wake Kamuachia Nani??

fundi mjenzi wa moja ya jengo linaloendelea kujengwa akipigilia msumari katika ubao bila hata ya kujali usalama wake,maana sehemu aliopo ni ya hatari sana kiusalama kwake.hatuombea mabaya kumtokea ila itakuwa vipi iwapo kwa bahati mbaya akatereza hapo??
kwa mbaali fundi huyo akionekana kuendelea na shughuli zake bila hata ya wasiwasi wowote.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad