Pengine hii iwe hatua ya kwanza kwa ukombozi wa akili na maisha ya waTanzania wenzetu. Tunaposafisha majengo ya ibada, kisha tukasafisha mioyo na akili za waumini, tutakuwa tumesafisha (kivitendo) maisha ya jamii ambamo waumini hawa wanaishi. Na huu uwe mwanzo wa harakati za kuikomboa jamii yetu. Blessings
Ahsante Michuzi kweli huu ni mtaa kwa mtaa,hapo mtaa ni kwangu na kama ukienda mbele zaidi uko utamkuta Dunda mtaani kwake uko akijivinjali mitaa ya Darwin usiku huu,Kweli nawe moja ya mchango wako RAMADHANI KARIIM
Ramla si useme hapo ndipo ulipokulia kuliko mbwembwe safi Michuzi nawatakieni Mfungo mwema na mwenyezi atuwezeshe kwa kila la kheri ndani ya mwezi huu mtukufu na wa Makonde wote
Pengine hii iwe hatua ya kwanza kwa ukombozi wa akili na maisha ya waTanzania wenzetu. Tunaposafisha majengo ya ibada, kisha tukasafisha mioyo na akili za waumini, tutakuwa tumesafisha (kivitendo) maisha ya jamii ambamo waumini hawa wanaishi.
ReplyDeleteNa huu uwe mwanzo wa harakati za kuikomboa jamii yetu.
Blessings
Ahsante Michuzi kweli huu ni mtaa kwa mtaa,hapo mtaa ni kwangu na kama ukienda mbele zaidi uko utamkuta Dunda mtaani kwake uko akijivinjali mitaa ya Darwin usiku huu,Kweli nawe moja ya mchango wako
ReplyDeleteRAMADHANI KARIIM
Ramla si useme hapo ndipo ulipokulia kuliko mbwembwe
ReplyDeletesafi Michuzi nawatakieni Mfungo mwema na mwenyezi atuwezeshe kwa kila la kheri ndani ya mwezi huu mtukufu na wa Makonde wote
Bongo kuna badirika sana. Mwanawane naona ulishainasa mitaa ya Dunda. Ha haa haaa
ReplyDeleteMama M