HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 23, 2009

Utaachia au Huachii???!!!!


hawa jamaa nimewakuta leo mtaa wa Swahili,Kariakoo wakigombania viatu.kitu ambacho kilishangaza kila mtu aliekua akipita hapo.sasa sijui hivyo viatu vilikuwa vinakitu gani??halafu unaweza kuta wote hao wako kwenye swaum!!

2 comments:

  1. SASA KWA NINI UJAMWAGA DAWA WAACHE KUGOMBNA WAUENZI MWEZI HUU MTUKUFU

    ReplyDelete
  2. Ha haa haa... eti wako kwenye swaumu.
    Yawezekana hivyo viatu havina mwenyewe wameviokota ndio maana wanavigombea.

    Mama M.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad