HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 23, 2009

Msikiti Wa Makonde


hivi ndivyo uonekanavyo msikiti wa Makonde uliopo mtaa wa Nyamwezi,Karia koo mara baada ya kufanyiwa ukarabati.Maalim Dunda upoo hapo??

4 comments:

  1. Pengine hii iwe hatua ya kwanza kwa ukombozi wa akili na maisha ya waTanzania wenzetu. Tunaposafisha majengo ya ibada, kisha tukasafisha mioyo na akili za waumini, tutakuwa tumesafisha (kivitendo) maisha ya jamii ambamo waumini hawa wanaishi.
    Na huu uwe mwanzo wa harakati za kuikomboa jamii yetu.
    Blessings

    ReplyDelete
  2. Ahsante Michuzi kweli huu ni mtaa kwa mtaa,hapo mtaa ni kwangu na kama ukienda mbele zaidi uko utamkuta Dunda mtaani kwake uko akijivinjali mitaa ya Darwin usiku huu,Kweli nawe moja ya mchango wako
    RAMADHANI KARIIM

    ReplyDelete
  3. Ramla si useme hapo ndipo ulipokulia kuliko mbwembwe
    safi Michuzi nawatakieni Mfungo mwema na mwenyezi atuwezeshe kwa kila la kheri ndani ya mwezi huu mtukufu na wa Makonde wote

    ReplyDelete
  4. Bongo kuna badirika sana. Mwanawane naona ulishainasa mitaa ya Dunda. Ha haa haaa

    Mama M

    ReplyDelete

Post Bottom Ad