Mdau Said a.k.a Side Boy ambaye yupo Nchini India akisaka nondozz (jina la nondozz anayosaka limenitoka kidogo,ila nikikumbuka nitawatajia) anawatakia waislaam woote popote pale walipo Mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.Ramadhan Kareem
No comments:
Post a Comment