napenda kutumia nafasi hii kuwashukuruni wote kwa maoni yenu yaliyosababisha kuliboresha hili jarida number 10.tunajitahidi kuwapatia burudani wapenzi wote wa soka ndani na nje ya nchi,safari hii jarida la number 10 limefanya mahojiano na beki wa zamani wa ufaransa marcel desailly, pia tumeenda mpaka south africa na kuangalia maendeleo ya maandalizi ya fainali za kombe la dunia.
mambo yapo mengi kwakweli, chukua tu copy yako uone...please please tuwasiliane kupitia

No comments:
Post a Comment