HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 3, 2009

INTERNET CAFE MPYA NA YA KISASA YAFUNGULIWA KARIAKOO

A&E SECRETARIAL SERVICES AND INTERNAT CAFE
Bango lao kwa nje
huduma zitolewazo
wakina Dada wanaotoa huduma ndani ya A&E SECRETARIAL SERVICES AND INTERNET CAFE wakiwa bize na kazi.

Baadhi ya wateja wakiwa bize na kuperuzi mambo yako katika net ya ukweli kabisa na ambayo iko fasta kutita Internet cafe zote hapa mjini.
hata huyu mzururaji nae aliweza kuendeleza libeneke katika Internet Cafe ya A&E iliyopo katika mtaa wa Agrey street.mcheki alivyotulia mwenyewe,yaani yuko kimyaa kama sio yeye vile
warembo hawa ni wakarimu sana,maana wanakukaribisha vizuri na kama unatatizo wanakusaidia,kulia ni dada Grory na kushoto ni dada Nancy
jamaa akiperuzi mambo yake mtandaoni.
A&E ipo ndani ya jengo hili lililopo mtaa wa Agrey jirani kabisa na pale kwa Bahresa wanakouza ice creamMawasiliano yao


pia wanatoa huduma za kusafirisha mizigo ndani na nje ya nchi,kwa kupitia kampuni yao nyongone ya LASWAY TRACK.

WANAPATIKANA:

MTAA WA AGREY JIRANI NA BAHRESA.

P.O.BOX 32608

TEL:+255 22 2183871

MOB:+255 787 111 111

+255 773 808 588

+255 715 500 010

EMAIL: roxanafoods@yahoo.com

traceme2009@hotmail.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad