washkaji wakisukuma gari iliyosheheni mizigo kibao,mara baada ya kubuma katikati ya barabara ya Kawawa rodi jioni ya leo.sijui iliwachukua muda gani kufika pale sheli ya mafuta ya Magomeni??maana kulikuwa na foleni ya maana kweli kweli.
No comments:
Post a Comment