HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 3, 2009

Pati Ya Marafiki Ya Dada Halima Mbarouq Yapendeza Sana

Dada Halima Mbarouq akiwa katika pozi
Dada Halima akiwa na Marafiki zake wa karibu sana,shoto ni Ritha na kulia ni Tumaini
Bi harusi mtarajiwa Halima Mbarouq akiwa katika pozi la ukweli
msanii wa miondoko ya Bongo Flava,CPWAA nae alikuwepo katika pati ya Marafiki ya Dada Halima iliyofanyika wiki iliyopita katika ukumbi wa Haidary Plaza jumamosi iliyopita.
kina dada toka pande za Zenj nao walitumbuiza zile nyimbo za "Habibii,Habibii Habibii ya nurill aeehhh"
Dada Halima (kati) akiwa na marafiki zake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad