
Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndo huu umewadia, leo ni Shaaban Chungu 15, kama alivyosema Allah (SW) katika Surat Baqarah: - (183, 184, 185) 185. ''Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu,na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi".
Basi atayekuwa ameona mwezi naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze.
Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru.''Basi ndugu zanguni, mtapata kufahamu Zaidi Falsa ya Swaumu kutoka katika DVD ya Ustaadh Kondo J. Bungo itakayokuwa mitaani wiki ijayo Inshaallah.
Usiache kujipatia copy yako ili uweze kuanza kudodosa wewe na familia.Mpango wakuzisambaza huko majuu unashughulikiwaKwa Mawasiliano piga
0789 100 000
AU
0713 690 930
Asalaam waaleykum
Ustaadh
No comments:
Post a Comment