HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 8, 2009

Ismail Ally Ismail Na Halima Khamis Mbarouk Wafanya Kweli Leo

Bwana harisi Ismail Ally na mkewe Halima Khamis wakiwa katika tabasamu zito
bwana harusi na bi harusi pamoja na wapambe wao,wakiwa meza kuu ya hai tebo usiku huu katika ukumbi wa Istana uliopo Victoria.
huyu jamaa nae siku hizi kwa minuso humwambii na hizo pamba zake za kudundia,hapa alikuwa anatoka kugonga cheazz na maharusi,katika hafla iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Istana uliopo maeneo ya Victoria.
MC wa shughuli hii anaefahamika kwa jina la kula kweki kwa kwenda mbele,akifungua Shampen mpya na yakisasa toka katika kampuni inayopika kilaji cha aina ya Pepsi.
maharusi pamoja na wapambe wao wakiwa wameizunguka meza ya kekizz tayari kwa kutaka kuanza kukata na kuendelea na taratibi zingine.
sherehe zetu za kibongo siku zote huwaga hazinogagi kama hakuna muziki wa asili ya Pwani (taarabu a.k.a vidole juu) hapo ndipo utaona kama sherehe ilinoga.
huu ndio ukumbi wa Makuti holi uliopo ndani ya jengo la Istana,uliopo pale Victoria ambapo ndipo ilipofanyikia sherehe ya ndoa ya bwana Ismail Ally na bi Halima Khamis,iliyomalizika usiku huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad