HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 2, 2009

Upakiaji wa mizigo katikati ya jiji

hili basi hapo pamoja na hilo lori hapo pembeni sio kama yanataka kupishana,hapo kila moja lipo katika kituo chake husika kwa kupakia mizigo tayari kwa safari za kupeleka huko iendako.sasa sijui sheria za barabarani zinasemaje juu ya magari haya kupaki katikati ya njia na kufanya magari mengine yasipite?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad