ngoma imekomaa ile mbaya,hapa ni njia panda ya chuo kikuu
Ujenzi wa barabara ya Mandela Rodi ukiendelea jioni hii jijini Dar.Kutokana ujenzi na ukarabati mkubwa wa barabara hiyo kumekuwepo na foleni kubwa ya magari kila wakati hali ambayo imekuwa ikileta usumbufu wa hapa na pale.
No comments:
Post a Comment