HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 13, 2009

Shida Ya Usafiri Kiwalani

hiki ni kituo cha Bom Bom,Kiwalani ambapo inaelekea bado kuna shida ya usafiri wa daladala pamoja na kwamba kuna magari kibao katika njia yao hiyo.sasa sijui watu ni wengi kuzidi hayo magari??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad